Majambazi kuiba Tsh. Mil 150 na kuuwa watu 2 jijini DSM.
Risasi zimerindima katika mitaa ya Kariakoo jijini dar es salaam na
kusababisha hali ya taharuki baada ya majambazi kuiba shilingi milioni
150 na kuuwa watu wawili kwa kuwapiga risasi na kujeruhi wengine huku
baadhi ya maduka kufungwa.
No comments:
Post a Comment