Kijana Ramadhan Seleman aka "Rama mla watu" baada ya kubainika kuwa na matatizo ya akili kutokana na tuhuma za mauaji ya Salome Yohana. Licha ya kuondolewa na hatia hiyo yupo chini ya uangalizi. Jumatano alirudishwa katika hospitali ya wahalifu ya Isanga iliyopo Mirembe mkoani Dodoma.
Kijana huyo alisafirishwa kupelekwa huko hospitalini kufuatiaamri iliyotolewa na mahakama kuu, kanda ya dar es salaam katika kesi yake ya mauaji iliyokuwa ikiwakabili na mama yake Khadija Musa. Baada ya kubainika alitenda kosa hilo akiwa na matatizo ya akili.
No comments:
Post a Comment