Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa bunge maalimu la katiba Mh Samweli Sitta, ashinda nafasi hiyo kwa kura 487 na kumuacha mbali mpinzani wake Mh Hashim Rungwe akiwa na kura 69 kati ya kura 593 zilizopigwa na 7 kuharibika. Akitoa neno la shukran Bungeni mjini Dodoma Mh Samweli Sitta amewashukuru wajumbe wote wa Bunge maalimu la katiba kwa kuweza kumpa nafasi hiyo na kumpongeza mpinzani wake Mh Hashim Rungwe kwa kukubali nafasi hiyo.
Wajumbe wakipiga kura
Akipunga mkono
Akipewa mikono ya pongezi
Akitoa shukran zake
Kila la kheri.
No comments:
Post a Comment